Roma Mkatoliki afunguka nyumbani kwa Lulu Diva Picha ya msanii Roma Mkatoliki Roma Mkatoliki ametoa ya moyoni kwa kinachoendelea mitandaoni kwa baadhi ya watu kumsema Lulu Diva kutojenga nyumbani kwao Muheza Tanga wakati yanafanyika mazishi ya mama yake mzazi. Read more about Roma Mkatoliki afunguka nyumbani kwa Lulu Diva