Wasafiri KM 60 ili ku-print mitihani

Mashine ya kuchapishia (Printer)

Shule ya Sekondari Nyachiluluma iliyopo mkoani Geita, inakabiliwa na ukosefu wa mashine ya kuchapishia hali inayopelekea wanapohitaji kuchapisha mitihani au nyaraka za serikali kusafiri zaidi ya kilomita 60 kufuata huduma hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS