Ajitokeza kuitapeli familia ya mtoto aliyefufuka

Charles Christopher, aliyejitokeza kutapeli

Siku chache baada ya mama aliyefiwa na mtoto mwaka 2017 na baadaye kupatikana akiwa hai mkazi wa kijiji cha Ngemo, mkoani Geita, tapeli ameibuka kwa mama huyo na kuomba Mil.3 anazodai kuwa ameagizwa na mkuu wa wilaya kama kulipwa fidia baada ya kusimamia zoezi la ufukuaji wa kaburi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS