Kanuni zatumika kuahirisha mchezo wa Simba SC
Bodi ya Ligi Kuu soka Tanzania bara TPLB imetoa sababu ya kuahirishwa kwa mchezo wa Ligi Kuu kati ya Kagera na Simba SC uliokuwa uchezwa leo Disemba 18, 2021 Saa 10:00 Jioini katika Dimba la Kaitaba Mkoani Kagera.