Bingwa Us Open apata Covid-19
Bingwa wa michuano ya tennis ya US Open, Mwanadada Emma Raducanu ana matumaini atarejea kwenye michuano ya tennis ya Australian Open baada ya kupata maambukizi ya Uviko 19 na kujiondoa kwenye michuano ya Mubadala World Tennis Championships inayotarajiwa kuanza December 16-18 mjini Abu Dhab