Yanga yahitaji uchunguzi juu ya tuhuma dhidi yao
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesikitishwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Wanachama wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu , baada ya mchezo nambari 64 wa Ligi Kuu baina ya Simba na Yanga uliochezwa na Jumamosi tarehe Jumamosi ya tarehe 11/12,2021.