Covid 19 yasitisha mazoezi Spurs

(Kocha wa Spurs, Antonio Conte akiwa mazoezini na wachezaji wake)

Klabu ya Tottenham Hotspurs imesimamisha ratiba zake za mazoezi kwa muda baada ya baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wa klabu hiyo kukumbwa na mambukizi ya Uviko 19.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS