Kareem Abdul-Jabbar asikitishwa na LeBron James LeBron James akishangilia dhidi ya Indiana Pacers. Kareem Abdul-Jabbar hakuwa shabiki wa aina ya ushangliaji wa LeBron James wiki iliyopita wakati nyota huyo wa NBA alipowasaidia Los Angeles Lakers kuwashinda Indiana Pacers. Read more about Kareem Abdul-Jabbar asikitishwa na LeBron James