Watanzania wanaoishi Afrika Kusini wazingatie haya
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi, amewataka Watanzania wanaoishi nchini Afrika Kusini, kuhakikisha wanazingatia maelekezo yanayotolewa na serikali kuhusu kirusi kipya kilichotangazwa nchini humo.