Watekaji watatu wa magari wauawa
Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambanzi wamepoteza maisha katika wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, baada ya kutokea majibizano ya risasi baina ya polisi na watu hao, usiku wa kuamkia leo Desemba 01, 2021, majira ya saa 8:00 usiku.