Treni ya umeme kutumia umeme wake sio unaokatika

Treni ya umeme

Meneja Mradi wa Treni ya SGR Mhandisi Machibya Masanja, amesema kuwa Treni ya umeme itakapoanza haitatumia umeme huu wa kawaida unaokatika mara kwa mara, bali inajengewa mtandao wa umeme unaojitegemea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS