Mavunde awaheshimisha wachezaji wa zamani Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Mheshimiwa Anthony Mavunde amezindua rasmi Umoja wa Familia ya Wanamichezo wa Zamani Dodoma (UFAWAZA) na kupewa heshima ya kuwa mwanachama wa kwanza wa heshima. Read more about Mavunde awaheshimisha wachezaji wa zamani