Rangnick ameahidi makubwa, Manchester United

Kocha wa Manchester United Ralf Rangnick

Rasmi klabu ya Manchester United imemtangaza Ralf Rangnick kuwa kocha wa muda wa kikosi hicho mpaka mwishoni mwa msimu huu wa 2021-22. kocha huyo mjerumani anachukua nafsi ya kocha Ole Gunnar Solskjaer aliyefutwa kazi wiki iliyopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS