Metacha amvulia kofia Djigui Diarra (Metacha Mnata alipokuwa mazoezini na timu ya Yanga) Mlinda mlango aliyewahi kung’ara na Yanga, Metacha Mnata amekiri kwamba hata kama bado angekuwa klabuni hapo, kwa ubora wa Djigui Diarra mwenyewe angeenda benchi. Read more about Metacha amvulia kofia Djigui Diarra