Watoto wengine hawatumii jina langu- Rais Museveni
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, amesema kwamba awali Uganda alizuia kabisa taasisi ama shule yoyote kuitwa kwa jina lake, isipokuwa mke wake na watoto wake licha ya kwamba wapo baadhi ya watoto wake waliokataa kutumia jina lake.