Angola yafanya kufuru, yaipiga Zanzibar 12-0 CANAF
Mabingwa watetezi wa Mashindano ya Afrika kwa mchezo wa Mpira wa Miguu kwa wenye Ulemavu CANAF 2021 timu ya Angola jana, Novemba 28, 2021 waliichapa Zanzibar 12-0 kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.