Djokovic kutetea taji la Australian Open

Mahakama ya Australia imeamuuru kuwa mchezaji namba moja kwa ubora Duniani kwenye Tenisi,Novak Djokovic kuachiliwa huru na kwenda kushiriki michuano ya wazi ya Australia licha ya kuwa hajapata chanjo ya UVIKO-19.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS