Beka Flavour apata ajali ya ajabu

Msanii Beka Flavour na gari aliyopata nayo ajali

Kupitia page yake ya Instagram msanii Beka Flavour ameweka taarifa za kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo wakati anatoka studio kurekodi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS