Newcastle wafanya usajili wao kwanza

Kieran Trippier akisaini kandarasi ya miaka mitatu.

Newcastle United imefanikiwa kupata sahihi ya beki wa kulia, Kieran Trippier kutoka Atletico Madrid paundi million 12 sawa na 37,501,300,080 za kitanznaia kwa kandarasi ya miaka mitatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS