Saa chanzo cha mwalimu kumpa mimba mwanafunzi
Wazazi na wa mwanafunzi wa kike (15) aliyekuwa anasoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kolero wilauani Morogoro, wamelilalamikia jeshi la polisi kushindwa kumchukulia hatua mwalimu anayetuhumiwa kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi huyo huku akiendelea kutamba kijijini hapo.

