Mwanafunzi afariki kwa kugongwa pikipiki shuleni

Barabara kubwa inayokatiza katikakati ya majengo yanayotenganisha kidato cha kwanza mpaka cha nne pamoja na kidato cha tano na sita katika shule ya Sekondari Nyang’hwale imeelezwa kusababisha kifo cha mwanafunzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS