Kushoto ni Grayson Mahembe Askari aliyejinyonga, na kulia ni Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mtwara ACP Mark Njera
Afisa wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Grayson Mahembe, ambaye ni miongoni mwa maafisa saba wa jeshi hilo waliofunguliwa mashtaka ya mauaji ya mfanyabiashara, amejinyonga.