"Nimeshinda tuzo ya nguo bora ya ndani" - Morrison
Picha ya mchezaji Benard Morrison
Wakati wachezaji John Bocco, Aishi Manula, Mohammed Hussein na Fei Toto kuondoka na tuzo za TFF usiku wa jana, Benard Morrison anasema aliambulia kurudi na chupa ya maji nyumbani.