Mchezaji wa zamani Kaizer Chiefs auawa 

Picha ya Mchezaji Lucky Maselesele

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Kaizer Chiefs na Maritzburg United za nchini Afrika Kusini Lucky Maselesele (41) ameripotiwa kushambuliwa na kuuawa na kundi la watu lililomtuhumu kuiba nyaya za umeme.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS