Jeshi la Polisi latoa msimamo wake kuhusu Kamchape “Jeshi la Polisi halitaruhusu watu binafsi au viongozi wa aina yoyote kuwatapeli wananchi kwa kisingizio cha matambiko au imani za kishirikina. Tuko tayari kulinda raia na mali zao wakati wote,” Read more about Jeshi la Polisi latoa msimamo wake kuhusu Kamchape