Kauli ya Rais Samia wakati akichoma chanjo
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo Julai 28, 2021, amechoma chanjo Johnson & Johnson inayotolewa kwa dozi moja tu, ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona ambapo amesema kuwa amefanya hivyo kwa hiari yake mwenyewe baada ya wanasayansi kujiridhisha na usalama wa chanjo hiyo.