Wizkid ashutumiwa kumlipa Rihanna Picha ya msanii Wizkid Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria Wizkid anashutumiwa kuwa alimlipa mwimbaji Rihanna ili amtangazie (promote) wimbo wake “Essence” ambao alionekana akiucheza wakati ameenda live instagram. Read more about Wizkid ashutumiwa kumlipa Rihanna