Siri za serikali zisiende mitandaoni- Majaliwa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa yote nchini kuhakikisha siri za serikali hazisambai hovyo kwenye mitandao ya Kijamii kutokana na baadhi ya barua za serikali kukutwa kwenye mitandao ya kijamii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS