Wanawake wasema uhaba wa maji uliteteresha ndoa
Wanawake wanaoishi maeneo ya vijijini katika wilaya ya Itilima na Bariadi, mkoani Simiyu, wamesema kero ya maji imesababisha kutetereka kwa ndoa zao, kutokana na wao kuamka saa 9 usiku kwenda kutafuta maji.

