Dabi ya K/koo waamuzi watende haki- Manara
Afisa habari wa klabu ya Simba Haji manara amewataka waamuzi watakao chezesha mchezo wa ligi kuu kati yao na watani zao Yanga siku ya Jumamosi Julai 3, 2021, watende haki na kufata sheria 17 za soka na wasifanye maamuzi kwa kutengeneza usawa kwenye mchezo huo.

