Ukraine yaifuata England Robo fainali EUROS
Timu ya taifa ya Ukraine imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya UEFA EUROS ikiwa ni kwa mara ya kwanza baada ya kuifunga Sweden mabao 2-1 kwenye mchezo ulioamuliwa na dakika 30 za nyongeza kufuatia sare ya bao 1-1 katika dakika 90 za mchezo.

