Moto wa Atlanta waanza Upya fainali NBA
Timu ya Atlanta Hawks imefanikiwa kuibuka na ushindi wa alama 116-88 dhidi ya timu ya Milwaukee Bucks kwenye mchezo wa mzunguko wa nne wa fainali ya ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani 'NBA' kwa ukanda wa Mashariki.

