Ahukumiwa baada ya kuidharau Mahakama
Mahakama ya kikatiba nchini Afrika Kusini imemuhukumu Rais Mstaafu wa nchi hiyo Jacob Zuma, kifungo cha miezi 15, kwa kosa la kudharau Mahakama, baada ya kukataa kuitikia wito wa kuonana na kamati iliyokuwa inamchunguza kuhusu rushwa na ufisadi.

