Mpango wa tatu wa maendeleo wazinduliwa
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amezindua rasmi mpango wa tatu wa maendeleo ya taifa wa miaka mitano huku akiwahidi watanzania kuwa mambo yote yaliyoahidiwa katika kampeni za mwaka 2020 yatatekelezwa na mpango huo.

