J. Martins atunukiwa udaktari Picha ya pamoja msanii J Martins na Mike Ezuruonye Mwimbaji maarufu wa Nigeria, J. Martins ametunukiwa shahada ya udaktari kutoka katika chuo kikuu cha Estam huko Jamhuri ya Benin. Read more about J. Martins atunukiwa udaktari