Karia hana mpinzania Uchaguzi TFF

Rais wa TFF Wallace Karia

Jina la Rais wa sasa wa TFF anaetetea nafasi yake kwenye Uchaguzi Mkuu, Wallace Karia ndio mgombea pekee aliyepitishwa na kamati ya Uchaguazi ya shirikisho hilo, miongoni mwa majaina matatu ya wagombea wa nafasi hiyo baada ya zoezi la usaili kukamilika, Kamati yaUchaguzi imethibitisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS