Kombe la Dunia la Kwanza Brazil Picha ya Edson Arantes do Nascimento Mnamo Juni 29, 1958, gwiji wa soka Edson Arantes do Nascimento (Pelé) aliiongoza timu ya Taifa ya Brazil kushinda Kombe la Dunia la kwanza kwa kuwatungua wenyeji Sweden mabao 5-2. Read more about Kombe la Dunia la Kwanza Brazil