LATRA wapewa wiki moja daladala zifike Sokoni

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo kuwaelekeza Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na wamiliki wa vyombo vya usafiri kuhakikisha ndani ya wiki daladala zinafika kwenye Soko la Kijichi ili kuchagiza biashara sokoni hapo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS