Rais Samia atoa tahadhari ya Corona kwa watanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suhulu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suhulu Hassan, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.