Gomez aweka wazi mpango wa Simba dhidi ya Azam leo
Hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho nchini 'ASFC' itaendelea leo Juni 26, 2021 kwa mchezo mmoja ambapo bingwa mtetezi wa kombe hilo klabu ya Simba inataraji kushuka dimbani saa 9:30 Alasiri kwenye dimba la Majimaji lililopo Songea mjini mkoani Ruvuma.

