Mahakama yamuachia huru Mdude wa CHADEMA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, leo Juni 28, 2021, imemuachia huru kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali, baada ya kumkuta hana hatia katika kesi yake iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Heroin.

