Rais akiri uwapo wa wagonjwa wa corona wimbi la 3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema tayari nchi imekumbwa na wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID-19 na kwamba wagonjwa wa ugonjwa huo wapo na kuwaomba viongozi wa dini kuwahubiria waumini jambo hilo ili Taifa liweze kujiepusha na vifo vya makundi makundi.

