G Nako afunguka hatma ya Nikki wa Pili
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amemuapisha msanii Nickson Simon maarufu kama Nikki wa Pili kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe ambapo amechukua nafasi ya Jokate Mwegelo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
