Mahakama yakosa jengo Bunda yaishia kupanga Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Ester Bulaya Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Ester Bulaya, amesema kuwa wilaya ya Bunda haina jengo la Mahakama badala yake wafanyakazi wa Mahakama wamebakia kuendesha shughuli zao kwenye nyumba za kupanga. Read more about Mahakama yakosa jengo Bunda yaishia kupanga