Gekul atamani kurejeshwa 'jando na unyago'
Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, ambaye ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul amesema kutokana na matatizo yanayowakumba watoto wakike anatamani jando na unyango vingerudi huku akipiga marufuku ukeketaji.

