Nay wa Mitego ajuta "Sitaki kujionyesha tena" Picha ya Nay wa Mitego Nay wa Mitego amesema amejifunza mambo mengi hivyo hataki kuyaonyesha maisha yake kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyokuwa mwanzo akifanya 'show off' za mali zake kama gari, nyumba au hata mpenzi wake. Read more about Nay wa Mitego ajuta "Sitaki kujionyesha tena"