Diddy na Burna Boy wapika album Picha ya Msanii Burna Boy Mshindi wa tuzo ya Grammy na BET, Burna Boy kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa ataachia album yake mpya mwezi Agosti 14 wakati album yake ya “Twice as Tall” ikiwa inatimiza mwaka mmoja tangu itoke. Read more about Diddy na Burna Boy wapika album