Barcelona yamrejesha Eric Garcia kutoka Man City
Klabu ya FC Barcelona ya Hispania imekamilisha usajili wa beki Eric Garcia kutoka Manchester City. Huu unakuwa usajili wa pili klabu hiyo unaikamilisha baada ya hapo jana kuthibitisha usajili wa mshambuliaji Sergio Kun Aguero .