Chalamila aangua kicheko baada ya kuitwa petroli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba ameamua kumuita Mkuu wa mkoa wa Mwanza Albert Chalamila jina la petroli kwa sababu ni mlipukaji, kauli ambayo ilimfanya Chalamila aangue kicheko kwa muda mrefu.