Simona Halep hatotetea ubingwa wake wa Wimbledon

Bingwa mtetezi wa Wimbledon upande wa Wanawake, Simona Halep akishangilia moja ya taji lake alilotwaa katika michuano.

Bingwa mtetezi wa mashindano ya Wimbledon upande wa wanawake, Simona Halep amejiondoa kushiriki michuano ya Wimbledon kufuatia kupata majeraha ya misuli ya kigimbi cha mguu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS